• "NIDHAMU HAKI WELEDI NA UADILIFU, MSINGI WA MAFANIKIO YETU"
Close

Kamishna wa Polisi Jamii CP Shilogile amezindua jengo la dawati la jinsia na watoto wilayani Msalala kata ya bugarama

Kamishna wa Jeshi la Polisi Kamisheni ya Polisi Jamii CP Faustine  Shilogile kulia kwake ni Mkuu wa Wilaya ya Msalala Mboni Mhita, mwenye suti nyeusi upande wa pili ni Naibu Mkurugenzi Mkazi Nchini Tanzania Heo Eun na Melissa Barrett Naibu mwakilishi Mkazi  toka UNFPA Tanzania wakiwa katika Picha ya pamoja katika zoezi la kuvuta kitambaa kuashiria Ufunguzi wa Jengo la Dawati Kata ya Bugarama wilayani Msalala mkoani Shinyanga.

Mkuu wa Dawati la Jinsia na Watoto Nchini, Kamishna Msaidizi wa Polisi DCP, Merry Nzuki akiwasalimia Wananchi kabla ya uzinduzi wa Jengo la Dawati na Jinsia na Watoto mkoani Shinyanga, Wilayani Msalala Kata ya Bugarama.

Kamishna wa Jeshi la Polisi Kamisheni ya Polisi Jamii CP Faustine  Shilogile, Mkuu wa Wilaya ya Msalala Mboni Mhita mwenye Suti nyeusi, Naibu Mkurugenzi Mkazi Nchini Tanzania Heo Eun na Melissa Barrett Naibu mwakilishi mkazi  toka UNFPA Tanzania wakiwa katika Picha ya pamoja katika zoezi la kukata utepe katika uzinduzi wa Jengo la Dawati Kata ya Bugarama.

 

Related Posts