Kurugenzi ya Uchunguzi wa Kisayansi

CP SHABAN HIKI
CP SHABAN HIKI

Kurugenzi ya Uchunguzi wa kisayansi,  ni miongoni mwa kamisheni ndani ya jeshi la Polisi Tanzania, inahusika na kuratibu ukusanyaji wa ushahidi wa vielelezo ikiwa ni pamoja na kutunza, kuhifadhi na kufanya tathimini ya kisayansi.

Majukumu yake ni:

  • Kusimamia taarifa zote za makosa ya jinai nchini
  • Kuratibu ukusanyaji wa ushahidi wa vielelezo ikiwa ni pamoja na kutunza, kuhifadhi na kufanya tathmini ya kisayansi.
  • Kufanya uchambuzi wa vielelezo na kutoa taarifa za kijinai zitakazowasilishwa Mahakamani.