Kusomwa kwa bajeti ya wizara ya mambo ya ndani 0 IGP Sirro tarehe 05 Mei 2022 amehudhuria Bungeni jijini Dodoma wakati wa kusomwa kwa hotuba ya makadirio ya matumizi ya fedha ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kwa mwaka wa fedha 2022/2023 Tags:Taarifa