Nidhamu Haki Weledi na Uadilifu ni msingi wa mafanikio Yetu.

IMG-20230724-WA0002

Mafunzo ya Askari wa kike kutoka nchi za Afrika yaanza rasmi leo.

IAWPAfricanChapter2023.

Mhadhiri kutoka Chuo Kikuu cha Dar es salaam Dkt.Richard Msunda akitoa mada katika mafunzo ya Askari wa kike kutoka nchi za Afrika yanayoendelea Jijini Dar es Salaam.

Picha nyingine zinaonesha Wajumbe wa mafunzo hayo wakifuatilia mada zinazotolewa.

Related news