Nidhamu Haki Weledi na Uadilifu ni msingi wa mafanikio Yetu.

DSC_2009

Mahafali vyuo vya Polisi

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Camillus Wambura, tarehe 31 Januari 2024 amefunga rasmi Mahafali ya Saba na Nane ya Vyuo vya Polisi katika fani mbalimbali za kitaaluma ikiwemo Stashahada na Astashahada ya upelelzi wa Makosa ya Jinai, Sayansi ya Polisi, Usalama Majini na Mawasiliano ya Polisi  ambapo zaidi ya wahitimu  897 walitunukiwa katika mahafali hayo yaliyofanyika kwenye viwanja vya Chuo cha Taaluma ya Polisi Kurasini jijini Dar es salaam.

Related news