Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro ameongoza ujumbe wa Tanzania kwenye Mkutano wa 17 wa Kamati ya Kisekta ya Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama wa Umoja wa Afrika STCDSS unaofanyika 11 Mei 2022 Jijini Addis Ababa, nchini Ethiopia.
UmojaWetuNdioNguvuYetu