Kamisheni ya Operesheni na Mafunzo

CP AWADHI JUMA HAJI
CP AWADHI JUMA HAJI

Kamisheni ya Operesheni na Mafunzo,  ni miongoni mwa kamisheni ndani ya jeshi la Polisi Tanzania, inahusika mipango yote ya muda mfupi, wa kati na muda mrefu kukabiliana na uhalifu.

Majukumu yake ni:

  • Kuratibu na kusimamia mipango yeyote ya dharura inayotokana na madhara au shughuli zozote zilizosababisha madhara kwa jamii.
  • Kuratibu mipango ya muda mfupi, muda wa kati na muda mrefu kwa ajili ya kukabiliana na uhalifu
  • Kuendeleza mipango mikakati ya kukabiliana na …. Za usal;ama barabarani
  • Kutoa ushauri juu ya uendeshaji wa mafunzo mbalimbali ndani ya Jeshi la Polisi.