Uzinduzi wa Nyumba za Polisi Geita

https://www.polisi.go.tz/wp-content/uploads/2019/07/WhatsApp-Video-2019-07-14-at-12.40.45-PM-1.mp4 Inspecta Jenerali wa Polisi ,anawakaribisha kwenye sherehe ya ufunguzi wa nyumba za makazi ya askari 20 eneo la Magogo Mkoani Geita ambazo zinawakilisha nyumba  nyingine 94 zilizo mikoa mbalmbali nchini. Tukio hilo litafanyika Mkoani tarehe 15.07.2019 ambapo mgeni rasmi ni Mhe Dkt John Pombe Joseph Magufuli Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania

Windows Lizenz Windows 10 Lizenz Office 2019 Lizenz Kaufen Office 365 kaufen Windows 10 Home kaufen Office 2016 kaufen windows 10 satın al windows 10 pro satın al