Ufunguzi wa mafunzo ya mradi wa I- AEC ya kuwajengea uwezo watendaji wa taasisi mbalimbali

Kamishna wa Fedha na Lojistiki CP Hamad Khamis Hamad leo amefungua mradi wa I- AEC na mafunzo ya kuwajengea uwezo watendaji wa taasisi mbalimbali pamoja na Polisi wa INTERPOL Jijini Dodoma. Mradi wa I-AEC lengo lake ni kuunganisha Watendaji wa Idara mbalimbali katika kushirikiana katika kupambana na uhalifu unaovuka mipaka kupitia mfumo wa Mawasiliano wa INTERPOL unaojulikana kama 1-24/7. @interpol_hq

Related Posts